Simba Ugenini Leo Dhidi ya Dodoma Jiji

Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja wa Simba ambaye atakuwa ugenini leo dhidi ya Dodoma Jiji kutoka Dodoma, mchezo ambao utapigwa majira ya saa 10:00 jioni.

Simba Ugenini Leo Dhidi ya Dodoma Jiji

Simba ambayo ipo chini ya Juma Mgunda wanaitafauta nafasi ya pili kwa hali na mali ili waweze kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao hasa baada ya kujkosa ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Simba imetoka kutoa sare mchezo uliopita huku kwa upande wa Dodoma Jiji wao wametoka kutoa sare ambao leo hii pointi tatu kila timu inazihitaji kwa upande wa mwenyeji yeye ushindi wa leo utamtoa nafasi ya 11 hadi ya 7.

Simba Ugenini Leo Dhidi ya Dodoma Jiji

Wakati Mnyama yeye unaambiwa alama tatu zitakumweka kwenye nafasi ya kushiriki Ligi ya mabingwa msimu ujao zikiwa zimesalia mechi mbili pekee hadi sasa.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Mechi ya mwisho kukutana Mnyama alishinda akiwa nyumbani. Je leo hii mwenyeji anaweza lipa kisasi akiwa amepewa ODDS 1.47 kwa 5.48?. Suka jamvi lako hapa na meridianbet.

Acha ujumbe