Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC jana usiku imeibuka na ushindi mnono wa bao 4-0, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuanza kuanza kwa msimu mpya wa Ligi na Kazima Kelele za kuwa walikuwa wakishinda ushindi mwembamba tofauti na ilivyozoeleka.

Yanga walicheza na Pamba Jiji ya Mwanza, ambao walianza mchezo vizuri wakitanguliwa kwa bao 1 la kichwa kutoka kwa Ibrahim Bacca.
Baada ya Hapo Walipata kadi nyekundu na ndipo Young Africans wakapata nafasi ya kuanza kutupia mipira nyavuni.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.


