Yanga Yaipasua Azam Mkwakwani

Mchezo wa kwanza wa Ngao ya Jamii umepigwa jana majira ya saa 1:00 usiku katika dimba la Mkwakwani Tanga ambapo klabu ya Azam FC imepasuka mabao 2-0 dhidi ya Yanga.

 

Yanga Yaipasua Azam Mkwakwani

Mchezo ulianza vizuri kwa timu zote kushambuliana ambapo mpaka kipindi cha kwanza kumalizika hakuna ambaye alikuwa ameona lango la mwenzake lakini Makudubela wa Yanga alitolewa nje baada ya kuumia.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Kipndi cha pili vijana wa Gamondi walionekana kulisaka sana lango la Azam fc lakini bado mambo yakawa magumu mpaka pale ambapo kocha huyo alipoamua kufanya mabadiliko kwenye kikosi chake.

Yanga Yaipasua Azam Mkwakwani

 

Baada ya kuingia Aziz Ki pamoja na Clement Mzize timu ilipata nguvu na hatimaye Wananchi kupata bao la kwanza kupitia kwa Aziz na baadae Mzize kuongeza bao la pili ambalo lilizima kabisa matumaini ya Wanalmba lamba kusawazisha mabao hayo.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Hoivyo wananchi wameingia fainali ya Ngao ya Jamii huku wakimsubiri mshindi wa leo kati ya Simba au Singida Fountain Gate ambapo mchezo huo utapigwa palepale Mkwakwani Tanga.

 

 

 

Acha ujumbe