Baada ya Simba kutoa taarifa kuwa wanagomea mechi kwa kuwa walizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkapa hivyo hawatacheza mchezo wa Machi 8 2025, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) Steven Mguto amesema wanalifanyia kazi.

Ikumbukwe kwamba mchezo wa leo ni mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-1 Yanga unatarajiwa kuchezwa saa 1:15 usiku kwa wababe hawa kukutana uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Mguto amesema: “Najua huu mgogoro na sio kitu cha kupuuzwa hivyo tutafanyia kazi kwa naitisha kikao asubuhi cha saa 72 ndiyo kamati ambayo inafanyia kazi kwenye kuendesha ligi hivyo tutafanyia kazi na umma utajulishwa.


