FIFA : Japani Yajitoa Kuhodhi Klabu Bingwa Dunia.

 

Shirikisho la soka duniani FIFA limetangaza kuwa Japan imejiondoa katika haki ya kuandaa mashindano ya klabu bingwa dunia kwa sababu ya kuongezeka kwa kesi za Covid-19 nchini humo.

 

FIFA

Taarifa ilisomeka: “FIFA inaweza kuthibitisha kwamba imearifiwa leo na Chama cha Soka cha Japani (JFA) kwamba, kwa sababu ya janga la COVID-19 na hali ya mwenyeji nchini, hawana nafasi tena ya kukaribisha Klabu Bingwa Dunia 2021.
FIFA inapenda kuwashukuru JFA kwa kazi yao na kujitolea kwao na wanatarajia kurudi Japan baadaye. Maelezo zaidi kuhusu mwenyeji mbadala wa Kombe la Klabu Bingwa Dunia la 2021 yatatangazwa kwa wakati ufaao.”

Inabakia kuonekana mahali ambapo mashindano hayo yatakafanyika lakini kulingana na ESPN, inaweza kuhamishiwa Qatar kama mtangulizi wa kuandaa Kombe la Dunia la 2022.


USHINDI KIGANJANI KWAKO!

Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.

Meridianbet Online Casino

INGIA MCHEZONI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.