Bwana Sloti ninakuletea mchongo mchongo huu wa kudaka mkwanja na Meridianbet kupitia Kasino ya Mtandaoni.
Zipo sloti nyingi sana hapa Meridianbet kwenye Kasino ya Mtandaoni kwa Ujumla. Lakini hapa tuzungumzie hii ambayo imepewa jina baada ya “Water World”
Sasa katika gemu hii tunawinda na kusaka mali zilizo majini, samaki, nyota wa baharini, konokono na kujipa burudani kadri tuwezavyo! Hii imetengenezwa vizuri kiasi cha wewe kuhisi unafurahia katuni badala ya Sloti ya Kasino
Hebu tuanze mwanzo kabisa! Kama ilivyo kwenye sloti zingine nyingi, uwezekano mkubwa wa kushinda unono unapatikana katika mizunguko ya bure, Hapa unahitaji kupata alama 3 zilizo kama kombe.
Ukipata alama 3, 4, 5 unapata mizunguko 20 ya bure na wakati wa mizunguko hii ya bure unaweza kushinda tena mizunguko mingine 20 ya bure! Inafurahisha eenh?
Alama ya Wild hutokea mara kwa mara na kwenye sloti hii, alama zipo kama ngome zilizopo chini ya maji ikiwa na jina ya gemu katika hizo alama, inachukua nafasi za alama zote wakati wa gemu isipokuwa alama ya Scatter.
Hata hivyo, alama ya Wild, inayofahamika zaidi kama alama ya Joker ni “Stacked Wild Symbol” kwenye gemu hii. Neno hili tunaliona mara kwa mara ambalo linaweza kuwekwa kwa urahisi zaidi kama alama ya Wild (Joker) ambayo inajitokeza kwenye sehemu moja lakini inaweza kuonekana kwenye nafasi mbili au Reel yote kabisa.
Alama za Scatter. Alama za Wild. Mizunguko ya Bure. Unajiuliza je nini ni tofauti zake?
Vitu vingi ni vipya na si vya kawaida kwenye sloti hii. Alama za Stacked Wild (Joker) zinatokea wakati wa gemu, hata wakati wa mizunguko ya bure, alama ya “Super Stacked Wild” hujitokeza pia.
Alama ya “Super Stacked Wild” ni alama 4 zilizochaguliwa na zenye thamani zaidi kwenye gemu hii, ambazo zinaweza kutokea wakati wa mizunguko ya bure kwenye sehemu moja, mbili au zote tatu kwenye reel moja, kama vile ilivyo kwa alama ya Wild kwenye gemu. Ikiungana na alama ya Wild, inalipa mara dufu, kiuhalisia, kama vile inavyookenana kwenye picha.
Alama ya Wild inatokea kwenye reel yote ya kwanza, lakini, baada ya hii, kwenye reel ya pili, reel ya tatu na kwenye reel ya nne na kwenye reel ya 5 alama ya Samaki wa 3 wa Bluu ” inatokea. Kiasilia, hapa inatokea “Big Win” yaani bonge la ushindi.
Miunganiko 243 ya ushindi, Mchezo wa kujiendesha, na pia, machaguo kibao ya ubashiri, mizunguko ya bure pamoja na ushindi mara nyingi, muonekano maridadi, muonekano wa grafiki mzuri, picha zinazoakisi uhalisia na sauti nzuri sana. Hii ni gemu kamilifu kwa mashabiki wote kupata furaha na inayodumu!
Cheza Kasino ya Mtandaoni na Meridianbet HAPA
Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.



