Uweledi wa Simba SC ni Chachu Katika Soka la Bongo

Simba ikiwemo na klabu zote Kusini mwa Jangwa la Sahara ni FEEDER CLUBS kwa miamba huko Kaskazini mwa Afrika ambazo tunaziita BIG CLUBS

Kwenye kila msimu ukifanya vizuri una uhakika wa kuuza Wachezaji wengi muhimu kuelekea klabu hizo kubwa, hapo lazima uwe na PLAN B

Kwenye dirisha hili la usajili wameuza Clatous Chama na Luis Miquisson, lakini fahamu kuwa hata Rally Bwalya alikuwa mbioni kuondoka ijapo haijatimia

Wana Lunyasi wamefanya kitu gani kuendana na kasi ya Wachezaji wake kuondoka kwenda kwenye malisho makubwa zaidi? Ndipo hapo kuna kitu klabu zote FEEDERS duniani wanafanya

https://meridianbetsport.co.tz/?s=simba

Tutazame kitu kuhusu SIMBA VS AGENCIES! Niliwahi kusema mahusiano yao na Kampuni kubwa za Uwakala barani Afrika umewapa malipo makubwa sana, ikiwemo kuchukua wachezaji kwa bei ndogo na kuuza kubwa

Ndio maana kuelekea Pre Season na dirisha la Usajili Msimbazi walipokea maombi ya wachezaji 74 Afrika nzima hii wakitaka kujiunga na matajiri wa kariakoo , ila sote tunafahamu Simba bado hana scouting network kubwa Afrika, hivyo jicho lake ni AGENCIES

Wao wanaona sehemu kubwa Afrika, wamewaletea vijana wengi wadogo sana ambao wanafahamu baada ya muda itakuwa biashara kubwa! Simba itafaidika, wao watafaidika na Mchezaji atafanikiwa

Kwanini Simba hawakutangaza wapi wanaenda wachezaji wao, Chama na Miq mapema? Lakini ni kwenye eneo hili la mahusiano kati ya Klabu, Wakala na Klabu anayoenda! EXCLUSIVITY ni kanuni ya kibiashara, Wekundu wa msimbazi walikubali kutunza siri kwa engo ya kuitazama Kesho yao kibiashara

Al Ahly walipofika muda wao wakamtangaza Miquisson, Berkane ulipofika muda wao wakamtangaza Chama, hii ndio BUSINESS PERSPECTIVE, usinyee kambi

wanalunyasi  wao wanafahamu ukweli kuwa Afrika ina Wachezaji wengi bora tena wa bei nafuu, ila unahitaji macho ya AGENCIES wakuletee kitu hicho, ndio maana wapo nao karibu


USHINDI KIGANJANI KWAKO!

Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.

Meridianbet Online Casino

 INGIA MCHEZONI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.