Kocha aliyeachishwa kazi kutoka Milan Fonseca huenda akarudi kwenye kiti cha kocha ndani ya wiki chache tangu kufukuzwa kwake, kwani Olympique Lyonnais wanavutiwa nae.

Mkocha huyo wa Kireno alifutwa kazi tarehe 30 Desemba 2024, baada ya miezi mitano tu tangu kuchukua nafasi hiyo ya San Siro. Alikuwa ameongoza mechi 24, akishinda 12, sare 6 na kupoteza 6 kati ya Serie A, Ligi ya Mabingwa na Coppa Italia.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Aliechwa nafasi na Sergio Conceiçao, Fonseca huenda asikose kazi kwa muda mrefu, kwa sababu vyanzo vingi kutoka Ufaransa, ikiwemo L’Equipe, vinaripoti kwamba anapangwa kuchukua nafasi ya kocha kwenye Olympique Lyonnais.
Uvumi huu ulikuwa tayari unasambaa na sasa unazidi kuongezeka baada ya timu ya Ligue 1 kumfukuza kocha Pierre Sage mara moja.


