Southampton Yamtimua Kocha Wao

Klabu ya Southampton imemtimua rasmi kocha wao Ralph Hasenhuttl baada ya kuwa na mwendelezo mbaya wa matokeo, ambapo mechi yake ya jana ilifanya atimuliwe moja kwa moja baada ya kupoteza kwa mabo 4-1.

 

Southampton Yamtimua Kocha Wao

Southampton ilipoteza mchezo huo wakiwa nyumbani dhidi ya Newcastle United. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 55 sasa atakuwa ni huru an endapo timu yoyote itamhitaji anaweza kwenda kuitumikia.

Ralph anakuwa ni kocha wa 05 kufukuzwa katika Ligi ya Uingereza baada ya Scott Parker wa Bournemouth kutimuliwa, Bruno Lage wa Wolves, Thomas Tuchel wa Chelsea Steven pamoja na Gerrad wa Aston Villa.

Southampton Yamtimua Kocha Wao

Southampton ameiacha timu ikiwa nafasi ya 18 baada ya kucheza michezo 14, ushindi mara tatu, sare tatu pamoja na kupoteza michezo 08 wakiwa na pointi 12 tu kwenye msimamo wa ligi.


AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

Acha ujumbe