Barcelona Kukiwasha Dhidi ya Osasuna Leo

Ligi kuu ya Hispania mechi ya kiporo kati ya FC Barcelona vs CA Osasuna itapigwa hii leo majira ya saa 5:00 usiku huku vijana hao wa Hans Flick wakiwa ndiyo vinara wa LALIGA hadi sasa.

Barcelona Kukiwasha Dhidi ya Osasuna Leo

Barca wakiwa pale kileleni na pointi zao 60, Osasuna wao wapo nafasi ya 14 na pointi zao 34 baada ya kushinda mechi zao saba, sare 12 na kupoteza mara 8.

Hii ni mechi ya kisasi kwa Hans Flick na vijana wake baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipoonana, hivyo leo hii wakiwa nyumbani kwako wanahitaji kushinda mtanange huu.

Ikumbukwe kuwa Barcelona wapo kwenye mbio za ubingwa wakiwa sawa pointi na Real, na nafasi ya3 inashikiliwa na Atletico ambao wana pointi 56, pointi 4 nyuma kwa kinara wa ligi.

Wanacatalunya watawakosa wachezaji wao muhimu Raphina pamoja na Araujo ambao wana uchovu bado kutokana na kutumia majukumu ya timu zao za Taifa.

Barcelona Kukiwasha Dhidi ya Osasuna Leo

Pale Meridianbet anayepewa nafasi ya kushinda mechi hii ya leo ni mwenyeji akiwa na ODDS 1.28 kwa 9.60. Je wewe beti yako unampa nani?. Bashiri mechi hii.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.