Howe Anamuhitaji Harvey Barnes

Newcastle ambayo ipo chini ya kocha mkuu Eddie Howe, wanajipanga kumfanya Harvey Barnes kuwa mchezaji wao wa pili mkubwa kusajiliwa msimu huu wa joto.

 

Howe Anamuhitaji Harvey Barnes

Gazeti la The Guardian limeripoti kwamba kikosi cha Eddie Howe kitapata ushindani kutoka kwa Aston Villa na West Ham ili kupata dili la winga huyo wa Leicester.

Howe ana nia ya kuongeza safu yake ya ushambuliaji anapojiandaa kwa soka ya Ligi ya Mabingwa na Barnes atachuana na Alexander Isak na Anthony Gordon kuwania nafasi ya upande wa kushoto wa mashambulizi ya Magpies.

Allan Saint-Maximin, wakati huohuo, anavutia vilabu vya Saudi Pro League na anaweza kuuzwa.

Howe Anamuhitaji Harvey Barnes

Wakati huo huo endelea kufanya ubashiri wa mechi mbalimbali na michezo ya kasino ya mtandaoni ukiwa na Meridianbet uweze kupiga mkwanja wa uhakika msimu huu wa Saba Saba.

Klabu hiyo ya Kaskazini Mashariki tayari imemsajili Sandro Tonali kutoka AC Milan msimu huu wa joto na itafuatia hilo kwa kuongeza mchezaji wa kushambulia.

Barnes mwenye miaka 25, ana mechi moja ya Uingereza na alifunga mabao 35 katika mechi 146 za Ligi kuu akiwa na Foxes.

Howe Anamuhitaji Harvey Barnes

Mchezaji huyo wa zamani wa West Brom kwa mkopo alifunga mabao 13 ya ligi msimu uliopita, zaidi ya mchezaji mwingine yeyote wa Leicester, licha ya kushushwa daraja.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.