Liverpool Warejea Kileleni kwa Kuitandika Chelsea

Curtis Jones alifunga bao la ushindi Liverpool ikirejea kileleni mwa EPL kwa ushindi mgumu wa 2-1 dhidi ya Chelsea.

Liverpool Warejea Kileleni kwa Kuitandika Chelsea
 

Lilikuwa jibu kali kutoka kwa upande wa Arne Slot baada ya mabingwa Manchester City kushinda mapema Jumapili na kusonga hadi nafasi ya kwanza kwa muda.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Liverpool sasa wameshinda michezo 10 kati ya 11 ya kwanza chini ya kocha wao mpya wa Uholanzi na uchezaji wao na uamuzi wao katika mtihani ambao ulikuwa mgumu zaidi kufikia sasa ulikuwa wa kuvutia.

Liverpool Warejea Kileleni kwa Kuitandika Chelsea

Safu yao ya ulinzi ilisimama kwa nguvu, huku mlinda mlango wa nyuma Caoimhin Kelleher akilindwa kwa muda mwingi wa mchezo.

The Blues walipambana wenyewe kwa nguvu, ingawa walikuwa na hofu ya mapema, kwanza wakati Salah alipofunga kwa mkwaju wa penalti.

Vijana wa Enzo Maresca walijibu vyema baada ya Jackson akisawazisha bao hilo na kufanya kuwa moja kwa moja kabla ya hapo baadae Jogoo kufunga bao la ushindi.

Liverpool Warejea Kileleni kwa Kuitandika Chelsea

Chelsea walitumia presha hadi mwisho lakini hawakuweza kupata njia ya kupita huku Liverpool wakiwa makini sana mpaka mwisho wa mchezo.

Acha ujumbe