Lengo jipya la uhamisho limeibuka kwa safu ya ushambuliaji ya Milan, huku Sky Sport Italia ikidai kuwa wako tayari kuwapa changamoto West Ham kumnunua mshambuliaji wa Aston Villa na Colombia Jhon Duran.

Sio siri kwamba Rossoneri wamekubaliana masharti na Alvaro Morata, ambaye mkataba wake na Atletico Madrid unauzwa €12m na atafanyiwa vipimo vyake vya afya huko Madrid siku ya kesho.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Wakati huo huo, wanatafuta mshambuliaji mwingine kusaidia kuimarisha chaguo zao, wanaohusishwa na majina yakiwemo Tammy Abraham wa Roma na Niclas Fullkrug wa Borussia Dortmund.


