Taarifa kubwa leo kwenye soko la usajili inamuhusu pia Abdulmajid Mangalo aliyemaliza msimu akiwa na Singida Fountain Gate FC kutakiwa na Yanga.

Meridian Sports ilimtafuta C.E.O wa Fountain Gate FC Kidawawa Thabitha Ili kujua ukweli wa taarifa hizo ambapo alisema, wana ofa nyingi kutoka hapa Nyumbani na nje ya Tanzania ikiwemo Mangalo.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
“Naomba watu waendelee kusubiri, sisi tutatoa taarifa zote ambazo zinahusu wachezaji na klabu yetu. Mangalo anatakiwa na klabu nyingi, siyo tu Yanga,” alisema.


