Spurs na Brentford Nani Kuibuka Mbabe Hii Leo?

Mechi ya kwanza ya mapema hii leo baada ya Ligi kurejea itakuwa ni ya vijana wa Antonio Conte Tottenham Spurs watakuwa ugenini kuzichapa dhidi ya Brentford saa 9:30 mchana.

 

Spurs na Brentford Nani Kuibuka Mbabe Hii Leo?

Spurs wamekuwa na msimu mzuri kutokana na matokeo wanayoyapata kwenye Ligi ambapo mpaka sasa wamejikusanyia pointi 29 kwenye michezo 15 waliyocheza wakiwa wamepoteza michezo minne pekee.

Brentford ya Thomas Frank wapo nafasi ya 10, wakiwa wameshinda mechi nne pekee, akaenda sare mara saba na akipoteza michezo minne, na pointi zake 19 kibindoni mpaka sasa.

Spurs na Brentford Nani Kuibuka Mbabe Hii Leo?

Mechi ya mwisho nyuki walimfunga Bingwa mtetezi wa Ligi, City huku Conte na vijana wake nao wakiwachakaza Leeds United.

Ushindi utamfanya Spurs apande hadi nafasi ya 3 kwenye msimamo, wakati Brentford wao watapanda hadi nafasi ya 7.

Spurs na Brentford Nani Kuibuka Mbabe Hii Leo?

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.