Ruvu Shooting Kukipiga Dhidi ya Singida Big Stars Kesho

Baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo kwenye ligi Ruvu Shooting anatarajia kumualika Singida Big Stars ambae ametoka kupata ushindi mwembamba mechi yake iliyopita kupitia kwa mshambuliaji wake Kagere.
Ruvu Shooting Kukipiga Dhidi ya Singida Big Stars Kesho

Ruvu Shooting wapo nafasi ya 13 baada ya kucheza micheza 13 na kupata pointi zao 11 baada ya kushinda michezo mitatu, sare mbili na kupoteza michezo nane mpaka sasa kwenye msimamo wa ligi.

Wakati kwa upande wa Singida wao wapo katika nafasi nne za juu, ya nne baada ya kuwa wameshinda mechi zao sita, sare tatu na wamepoteza michezo mitatu tu na kuvuna pointi 21 kwenye Ligi.

Mechi ya kesho ni muhimu sana kwa upande wa Ruvu Shooting kutokana na nafasi aliyopo na pointi ambazo anazo kwani mwenendo wa matokeo hayo utamfanya ashuke daraja.

Ruvu Shooting Kukipiga Dhidi ya Singida Big Stars Kesho

Lakini anakutana na Singida ambao wao wana kikosi kizuri na wapambanaji wanaojua kuzitafuta pointi tatu haswa kutokana na wachezaji wazoefu ambao wanao kama vike kina Kaseke, Wawa na wengine wengi.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

BALE

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.