Meneja wa Tottenham Antonio Conte atafanyiwa upasuaji wa kwenye kibofu chake siku ya Jumatano, klabu hiyo ya Premier League imetangaza. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Muitaliano huyo, 53, aliugua kwa maumivu makali ya tumbo na kufuatia tathmini ya matibabu, iliamuliwa kufanyiwa upasuaji na atakabiliwa na mapumziko kwa muda nje ya uwanja. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.
“Antonio Conte hivi majuzi aliugua kwa maumivu makali ya tumbo,” ilisema taarifa ya klabu hiyo.
“Baada ya kugundulika kuwa na ugonjwa wa cholecystitis, atafanyiwa upasuaji leo (Jumatano) na atarejea kufuatia muda wa kupona.
“Kila mtu kwenye Klabu anamtakia heri.”

