Ahmed Ally: Simba Lazima Iwafunge Wakubwa

Usiku wa droo ya Ligi ya mabingwa hatua ya robo fainali ilichezeshwa jana, huku wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano hayo Simba SC wakibahatika kupangwa na bingwa mtetezi Wydad Casablanca. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

simba

Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ametoa kauli ilinayoonesha jinsi ambavyo timu hiyo ina mlima mrefu wa kuupanda na kufikia malengo.

Semaji la CAF alisema “Ni lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali, na pengine ni mpinzani mgumu zaidi tangu tuanze kushiriki hatua hii. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

“Hapa unamzungumzia bingwa mtetezi, unamzungumzia mshiriki wa Club world Cup, unazungumzia timu yenye wachezaji waliotoka nusu fainali ya kombe la dunia. Huu ni mlima mrefu kwetu lakini hatuna budi kuupanda na kufika kileleni

“Ili uwe mkubwa Afrika ni lazima uwafunge wakubwa wa bara hili, inawezekana sana Simba kupata ushindi dhidi ya Wydad kama tuu kila idara ndani ya taasisi yetu itatimiza wajibu wake kwa asilimia 100

Ahmed Ally alimalizia kwa kusema “Kama tulivyomvua Ubingwa Zamalek mwaka 2003 ni wakati sasa kumvua Ubingwa Wydad”

Mechi ya mkondo wa kwanza inatarajiwa kuchezwa Aprili 21-22 katika dimba la Benjamin Mkapa, wakati ile ya mkondo wa pili imepangwa kuchezwa Aprili 28-29 nchini Morocco kwenye dimba la Mfalme Mohammed V, ambapo Simba alicheza mechi yake ya mwisho hatua ya makundi dhidi ya Raja Casablanca. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.