Rais Samia Aipongeza Yanga Kucheza Fainali

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufika hatua ya fainali kombe la shirkisho Afrika, licha ya kushindwa kutwaa ubingwa lakini timu hiyo ilishinda mchezo huo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Rais Samia kupitia ukurasa wake wa Instagram ametuma salamu za pongeza kwa timu ya Yanga, huku akisisitiza kwamba Yanga wameliheshimisha taifa la Tanzania.  Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Hongereni sana Yanga kwa hitimisho la mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup). Historia mliyoandika katika safari yenu ya michuano hii ni kubwa na ya heshima kwa Taifa letu. Nawatakia kheri katika mipango yenu ya siku zijazo.” Pongezi za Rais Samia.

Yanga imekuwa timu ya kwanza kutoka ukanda wa Afrika mashariki na kati kucheza fainali ya kombe la shirikisho, huku pia ikiwa ni timu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza fainali hizo. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Hata hivyo ikumbukwe kwamba mwaka 1993 Simba alicheza fainali ya kombe la CAF, dhidi ya Stellah Abijan ya Ivory Coast na kupoteza fainali. Kombe la CAF kwa sasa limebadilishwa jina na kuwa Kombe la Shirikisho Afrika. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.