TIMU ya Yanga kutoka Tanzania imeshindwa kuchukua ubingwa wa kombe la shirikisho huko Algeria dhidi ya USM Alger. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Yanga licha ya kuonesha mchezo mzuri na kufanikiwa kushinda mechi hiyo kwa bao 1-0 haikutosha kuwafanya kuwa mabingwa kwa mara ya kwanza kwenye historiaya klabu hiyo, kilichowakosesha ubingwa ni goli la ugenini. Aggregate ilikuwa (2-2). Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Watu wengi waliikatia tamaa Yanga kwa kujua kwamba watafungwa magoli mengi kwenye mchezo huo wa ugenini, lakini upinzani waliouonesha nadhani waarabu hawatosahau, kwani dakika ya 7 tu Djuma Shaban aliwatanguliza Wananchi kwa bao la mkwanju wa penati ambayo Kennedy Musonda alifanyiwa madhambi ndani ya boksi.
Kwa ujumla mchezo wa jana kwa upande wa Yanga unaweza kusema sehemu aliyopatia kocha Nasraddine Nabi ni kuanza na walinzi watano na viungo wengi, hali iliyowafanya USM Alger kupata shida kwenye kutengeneza mashambulizi ya hatari. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Wazo la Nabi kuanza na Mudathir Yahya kama kiungo mkabaji huku juu yake akimuweka Salum Abubakar “Sure Boy” kuliipa uhai Yanga kuutawala mchezo.
Historia imeandikwa kwa Yanga kuwa timu ya kwanza kucheza fainali za kombe la shirikisho ambapo wamevuna kiasi cha Tsh bilioni 2.4 kwa kuwa washindi wa pili. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.


