Je ni Kweli Namba 3 Haina Bahati na Simba & Yanga

Ukweli ni kwamba timu za Tanzania Simba na Yanga zimeonesha soka zuri sana kwa misimu ya hivi karibuni, ambapo Yanga kwa upandce wa kombe la shirikisho wamepoteza fainali yao ya kwanza tangu kuanzishwa kwa timu hiyo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Wananchi walipoteza fainali dhidi ya USM Alger kwa goli la ugenini ambapo mechi ya kwanza USM Alger alishinda mabao 1-2 akiwa ugenini, huku Yanga akishinda goli 0-1 na kufanya aggregate kuwa (2-2). Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Swali linakuja kwenye uwezo na bahati, ukiangalia mechi ya jana Yanga alionesha uwezo mkubwa ndani ya uwanja lakini unaweza kusema walikosa bahati ya mchezo. Jaribu bahati yako ukicheza kasino ya mtandaoni na ubashiri wa soka kwa odds kubwa meridianbet.

Siri ya Namba 3 imejirudia tena.

Historia inatukumbusha kwamba Mwaka 1993 Simba alipoteza mchezo wa fainali dhidi ya Stellah Abijan ya Ivory Coast, ilikuwa ni kombe la CAF, kuna namba 3 kwenye huo mwaka. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
yanga na simba

Mwaka 2023 Yanga anapoteza fainali ya kombe la shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria. Napo kuna namba 3 ambayo unaweza kusema kwamba Timu za Tanzania hazina bahati kwa namba 3, huenda mwaka 2024 na kuendelea ikawa na bahati kwa Simba na Yanga na timu nyingine za Tanzania kimataifa. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.