Gwiji wa Man Utd Adai De Gea Anafaa Kuwa Chaguo No.1

De Gea

Gwiji wa Manchester United Dwight Yorke alidai kwamba mlinda mlango David de Gea anafaa kuendelea kuwa chaguo nambari 1 wa klabu hiyo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

“Sijaona makipa bora ambao ni wakubwa zaidi kuliko David de Gea, kwa hivyo asibadilishwe naye mtu yeyote kwa sasa, hata kwa makosa aliyofanya hivi karibuni,” Yorke

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Sidhani kama kuna makipa wengi bora duniani kuliko De Gea. Je, David Raya ni bora kuliko De Gea? Sidhani hivyo”. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Manchester United itatafuta mchezaji bora na mhusika ambaye anaweza kuja na kushughulikia hatua ya kuichezea United. Labda Dean Henderson anaweza kuifanya, lakini sina uhakika sana. ” Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.