Ishu ya Penati Yanga Yamvuruga Gamondi

MIGUEL GAMONDI

ZAWADI Mauya, kiungo mzawa mkabaji ndani ya kikosi cha Yanga amekutana na kisanga kutoka kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi baada ya kuwa chanzo cha penalti katika mchezo huo. Ushindi ni rahisi ukitengeneza jamvi lako kupitia Meridianbet.

Ikumbukwe kwamba Yanga katika mechi tano mfululizo ilizocheza ilikuwa haijaruhusu bao la kufungwa rekodi hiyo ilitibuliwa na ASAS FC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.

Ni dakika ya 84 Mauya alisababisha penalti ikafungwa na Tito Mayor aliyempoteza mazima kipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra na mwisho ubao ulisoma Yanga 5-1 Azam FC

Gamondi ameweka wazi kuwa kufungwa kwa penalti ni jambo amalo hakufikiria lakini kwa kuwa ni mchezo kuna kazi anakwenda kuifanya kwa wachezaji wote. Shinda mkeka na odds kubwa Meridianbet.

“Nilikuwa ninapenda kuona hatufungwi ila imetokea tumefungwa bao moja kwa penalti. Kwa kilichotokea ni makosa ya wachezaji hilo tunakwenda kulifanyia kazi kwenye eneo la mazoezi.

“Kitakachotufanya tuwe bora ni kufanyia kazi makosa yetu kwenye mechi. Kwa kuwa tuna muda nina amini tutakuwa imara na tutaendelea na kazi kwenye mechi nyingine,” alisema Gamondi.

Ni Meridianbet pekee unapata chaguo la kucash out mkeka wako, mbali na machaguo zaidi ya 1000 bado kila chaguo linakuwa na odds kubwa. Bashiri na Mabingwa uwe bingwa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.