Gamondi ni Zaidi ya Nabi na ROBERTINHO?

gamondi

TARATIBU Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameanza kuwa kwenye viatu vya Nasreddine Nabi kutokana na mbinu zake kufanana na za Nabi aliyewahi kuwa kocha kikosini hapo. Odds kubwa unazipata Meridianbet.

Nabi alikuwa imara kwenye mbinu za kubadili mchezo kwa kutumia wachezaji walioanza kusugua benchi na walipoingia waliwapa tabasamu mashabiki na wachezaji kiujumla.

Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa kimataifa zama za Nabi kwenye mchezo dhidi ya Club Africain ugenini ni Aziz Ki alipachika bao hilo kwenye mchezo uliochezwa Novemba 9, 2022 wakiwa ugenini.

Aziz Ki alipachika bao hilo akitokea benchi ilikuwa zama za Nabi na ilikata tiketi ya kutinga hatua ya makundi kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Safari ilikwenda mpaka fainali ya michuano hiyo.

Cheza kasino ya mtandaoni na sloti ushinde maokoto KIBAO.

SHINDA NA KASINO

Chini ya Gamondi, ngoma imeanza taratibu kujibu ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya ASAS Djibout uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Agosti 26.

Katika mchezo huo mastaa wawili wa Yanga waliingia wakitoekea benchi ikiwa ni Clement Mzize na Pacoume Zouzoua hawa wawili walifunga bao mojamoja kwenye mchezo huo.

Mwisho ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 5-1 ASAS Djibout na Yanga inasonga mbele katika hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kumenyana na Al Merrikh ya Sudan. Ushindi ni rahisi ukibeti Meridianbet, odds kubwa na machaguo zaidi 1000+ unayapata.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.