Conor Gallagher & Chalobah Wanatakiwa na Bayern Munich

gallagher

Mabingwa watetezi na miamaba ya Ujerumani Bayern Munich wanataka kuwasajili wachezaji wa Chelsea Conor Gallagher na Trevor Chalobah kwa mujibu wa chanzo cha habari nchini Uingereza. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Bado haijafahamika kama Chelsea watasikiliza ofa juu ya Gallagher kabla ya dirisha la usajili kufungwa.

Lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza anavutiwa na meneja wake wa zamani Thomas Tuchel.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Vivyo hivyo beki Chalobah ambaye kwa mujibu wa talkSPORT ilieleza kuwa yuko tayari kuungana na Mjerumani huyo kwa mara nyingine.

Mazungumzo yanatarajiwa kuendelea kabla ya dirisha la usajili kufungwa. Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.