Bao la Mario Balotelli dhidi ya Uingereza tarehe 14 Juni 2014 bado linabaki kuwa bao la mwisho kufungwa na Italy katika FIFA World Cup: “Najivunia kuwa Muitaliano, daima na bila kujali chochote,” alisema mshambuliaji huyo wa zamani wa Inter Milan.

Timu ya Taifa ya Italy wamepata pigo jingine kubwa kuelekea FIFA World Cup baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Bosnia and Herzegovina katika fainali ya mchujo jana usiku.
Hii ni mara ya tatu mfululizo kwa Azzurri kushindwa kufuzu Kombe la Dunia.
La Nazionale walishiriki mara ya mwisho kwenye mashindano hayo mwaka 2014 na walitolewa katika hatua ya makundi, wakicheza dhidi ya Uingereza, Costa Rica na Uruguay.
Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.


