Aliyekuwa mshambuliaji wa Celtic na Fulham, Moussa Dembele ameiambia klabu yake ya Lyon anahitaji kupata changamoto nyingine nje ya Ufaransa.
Lyon wamethibitisha kwamba wapo katika mazungumzo na Atletico Madrid kwaajili ya kumuuza dembele katika klabu hiyo.
Atletico Madrid wapo katika harakati ya kuziba pengo la mshambuliaji wao, Diego Costa aliyeachana na klabu hiyo baada ya makubaliano ya kuvunja mkataba wake katika dirisha dogo la mwezi huu.

Baada ya mchezo dhidi ya Rennes ulioisha kwa sare ya 2-2 hapo jana, Mkurugenzi wa michezo, Juninho alidhibitisha kuwepo kwa mazungumzo hayo.
“Moussa alikuja kuniona, anafikiri ni muda wake wa kubadilisha timu, anasema anakosa motisha.” alisema mkurugenzi huyo
“Hichi sio kitu tulichokiona mbeleni, Ninampenda sana.
“Tuko katika mazungumzo na Atletico, Nadhani Moussa[Dembele] amefikia makubaliano na Atletico.“aliongeza Juninho
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Shakila mrope
Habari njema
Sania
Dembele namkubali sana huyu mchezaji
Adelta
Mashabiki wanamkubali sana Dembele
Ester mmakasa
Karibu sana Dembele tunakusubiri kwa hamu sana.
Angelina
Nice update
Sarah
Karibu Dembele
Lydia Emmanuel Magoti
Kalibu dembele kwenye ulimwengu mwingine
Fatuma kasomo
Safi
Ernest Kimeru
Deal zuri kwa Moussa Dembele, Atapiga mkwanja hapa
Mwanahamisi
Safi
Dorophina
Dembele akienda atletico madrid itakuwa poa sana
lombo
gud
Neema juma
Safii sana
aisha
Itakua balaa zito
Hopemwaikuka
Namuelewa sana
Saupha mohamed
Safi
Magdalena
Safi sana ndembele kila la kheri
warda
Mchezaji akishafanya maamuzi ya kuondoka muache tu
Rahmal
Safi
Gabriel
Safi sana
Sabrina
Karibu sana