Dembele Anakaribia Kutua Atletico Madrid.


 

Aliyekuwa mshambuliaji wa Celtic na Fulham, Moussa Dembele ameiambia klabu yake ya Lyon anahitaji kupata changamoto nyingine nje ya Ufaransa.

Lyon wamethibitisha kwamba wapo katika mazungumzo na Atletico Madrid kwaajili ya kumuuza dembele katika klabu hiyo.

Atletico Madrid wapo katika harakati ya kuziba pengo la mshambuliaji wao, Diego Costa aliyeachana na klabu hiyo baada ya makubaliano ya kuvunja mkataba wake katika dirisha dogo la mwezi huu.

 

Baada ya mchezo dhidi ya Rennes ulioisha kwa sare ya 2-2 hapo jana, Mkurugenzi wa michezo, Juninho alidhibitisha kuwepo kwa mazungumzo hayo.

Moussa alikuja kuniona, anafikiri ni muda wake wa kubadilisha timu, anasema anakosa motisha.” alisema mkurugenzi huyo

Hichi sio kitu tulichokiona mbeleni, Ninampenda sana.

Tuko katika mazungumzo na Atletico, Nadhani Moussa[Dembele] amefikia makubaliano na Atletico.“aliongeza Juninho


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

21 Komentara

    Habari njema

    Jibu

    Dembele namkubali sana huyu mchezaji

    Jibu

    Mashabiki wanamkubali sana Dembele

    Jibu

    Karibu sana Dembele tunakusubiri kwa hamu sana.

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Karibu Dembele

    Jibu

    Kalibu dembele kwenye ulimwengu mwingine

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Deal zuri kwa Moussa Dembele, Atapiga mkwanja hapa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Dembele akienda atletico madrid itakuwa poa sana

    Jibu

    gud

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Itakua balaa zito

    Jibu

    Namuelewa sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi sana ndembele kila la kheri

    Jibu

    Mchezaji akishafanya maamuzi ya kuondoka muache tu

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Karibu sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.