Sanchez, Vidal Wafungiwa Coppa Italia.


 

Wachezaji wa Inter Milan Alexis Sanchez, Arturo Vidal na Cristian Romero wamesimamishwa katika ngwe ya pili ya nusu fainali ya Coppa Italia dhidi ya Juventus.

 

Wawili hao wa Inter, Alexis Sanchez na Vidal wamekusanya kadi za njano za kutosha kupata marufuku ya moja kwa moja na watakosa safari ya kwenda Juventus Jumanne jioni.

Walakini, Romelu Lukaku na Achraf Hakimi watarudi katika mchezo huo baada ya kukosa mchezo wa kwanza kwa kusimamishwa.

 


TENGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

13 Komentara

    Pole yao

    Jibu

    Jamani pole yao

    Jibu

    Hili balaa pole yao

    Jibu

    Hii sio poa kabisaa

    Jibu

    Du majanga kweli

    Jibu

    Hii balaa kwakweli

    Jibu

    Poleni sana

    Jibu

    poleni sana

    Jibu

    Litakua pigo kubwa kwa Inter kwani muunganiko wa wachezaji hao hua unawapa ushindi mnono

    Jibu

    Duu pole yao

    Jibu

    Inter ijipange

    Jibu

    Majanga

    Jibu

    pole yao

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.