Mourinho : Ferguson Asingekubaliana na Solskjaer.


 

Meneja wa Tottenham, Jose Mourinho anasema Kocha Legend wa Manchester United asingekubaliana na kocha wa sasa, Ole Gunnar Solskjaer kwa mtazamo wake kuhusu mataji.

United hawaja shinda taji lolote tangu kipindi cha Mourinho alipokuwa anakinoa kikosi hicho kwa kubeba Europa League na League Cup.

 

Meneja wa sasa wa Mashetani Wekundu Solskjaer alidharau umuhimu wa kumaliza ukame wa mataji kwa upande wake, akisema kuwa kufanikiwa katika mashindano ya kikombe “ni jambo la kujitolea kutoka kwa mameneja wengine”.

“Ni maoni yake. Nina hakika kuwa bosi wake mkubwa Sir Alex alikuwa na maoni tofauti juu yake. Lakini ninaheshimu kile Solskjaer anafikiria. Nadhani ni tofauti,” Mourinho alisema alipoulizwa juu ya maoni ya Solskjaer.

“Uhuru wa kufikiria, uhuru wa mawazo, na ikiwa ndivyo anavyofikiria hiyo ni sawa na mimi. Sio shida kwangu, haeshimu mtu yeyote.

“Lakini narudia naamini bosi wake mkubwa, na kubwa zaidi katika historia ya Ligi Kuu, ana maoni tofauti kuhusiana na hilo.”


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Jose Mourinho yuko sahii

    Jibu

    Mmh

    Jibu

    N ni kweli maneno ya mourinho

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.