Pep Guardiola amesema anataka chochote kilicho bora kutoka kwa Sergio Aguero ikiwa mchezaji huyo anajiandaa kuondoka Manchester City hata kama atahamia timu yoyote ya Premier League.

Guardiola Amtaka Aguero Kusalia Premier League

Aguero anajiandaa kuondoka majira ya kiangazi akiwa na historia ya kucheza katika Premier League kwa takribani miaka 10 na kufanikiwa kutwaa mataji matatu ya EPL na la tano linaonekena kuwa njiani.

Straika huyo amekuwa akihusishwa na vilabu mbalimbali, vikijumuishwa vilabu vya Premier League kama Chelsea, na Guardiola hana tatizo na hilo hatakama Aguero atakuwa katika katika Timu ya Ligi Kuu msimu ujao.

“Sisi sote tunamtakia kila la heri,” Guardiola alisema alipoulizwa kama atapendezwa kuona Aguero ataendelea kuwepo katika Premier League.

Wakati Aguero anajiandaa kuondoka mwisho wa msimu huu, City bado wanajisikia vizuri kumchezesha kwa muda uliyo salia msimu huu.

Aguero amefunga mabao matatu kwenye michezo 15 msimu huu amekuwa akikabiliana na majeraha karibia msimu wote lakini Guardiola ana tumaini kuwa atapata nafasi ya kucheza msimu huu.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Guardiola, Guardiola Amtaka Aguero Kusalia Premier League, Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa