Kwa mujibu wa chanzo cha habari za michezo cha Express kinachoripoti kuwa mchezaji kiungo wa kati wa taifa la Serbia, Sergej Milinkovic-Savic inadaiwa kuwa atahamia kwa Mashetani Wekundu wa Old Trafford – Manchester United wakati huu wa dirisha la usajili wa majira ya kiangazi.
Pamoja na uvumi huu lakini bado yeye binafsi anadai kwamba atakuwa na furaha sana endapo atasalia klabuni Lazio ya Italia kuliko kwenda kwa watabe hawa wa Uingereza, EPL na atachukua muda wakati wa mapumziko aamue baada ya nchi yake ya Serbia kutolewa kwenye Kombe la Dunia linaloendelea huko Urusi ikiwa ni hatua ya 16 bora.


Furahav
Aende tu
Povel tz
Haende tu
Lydia Emmanuel Magoti
Nijambo zuri haende tu