Inadaiwa kuwa huenda klabu ya Manchester United ikamnasa mchezaji beki Leonardo Bonucci wa AC Milan. Inatokana na timu hiyo kufungiwa kushiriki mashindano ya Ulaya kwa kesi ya masuala ya fair play wiki iliyopita.
Wanaripoti hii Gazzetta dello Sport kupitia Sun siku ya Jumapili wakati Sunday Mirror wakisema kuwa nyanda Thibaut Cortouis yupo tayari kusepa kwa wakongwe wa EPL, Chelsea endapo atafanikiwa ndoto yake ya kwenda Real Madrid ya Hispania.



Povel tz
Habar njema