Ule msimu bomba wa kabumbu maarufu kama usiku wa Ulaya, UEFA Champions League unarudi tena juma hili! Siku ya Jumanne na Jumatano kazi inaanza dimbani!
Gemu tamu
Mitanange ambayo inatolewa macho sana ni hii hapa:
Monaco vs Atletico Madrid
Inter vs Spurs
Liverpool vs PSG
Real Madrid vs Roma

Valencia vs Juventus
Manchester City vs Lyon
Benfica vs Bayern
Hakikisha haukosi kufuatilia hapa hapa!


Zeiyana
Ukiwa na meridianbettz raha sana
Povel tz
Noma sana