Promosheni Mpya ya Meridianbet

Promosheni: Kila mtu huwa ana eneo lake analiweza sana kuliko mwingine, Meridianbet wanakupa nafasi ya kutamba kibingwa kwa kuibuka mshindi wa zawadi zao kibao. hii ni zawadi ya ukaribisho kama shukrani kwa kuwachagua, Meridianbet mabingwa wa kubashiri wenye odds bomba na kubwa Tanzania na Afrika kwa ujumla wake.

Meridianbet wamekusogezea promosheni kubwa kwa mchezaji mpya kabisa wa Meridianbet, wakati wachezaji wakongwe wakiendelea kufurahia ofa lukuki kwenye ubashiri wao. Umewahi kukutana na Bonasi ya Ukaribisho Kubwa Kama Hii?

 

Promosheni Mpya ya Meridianbet

Meridianbet Mabingwa hawa, wanakupa nafasi ya kuweza kujisajili na kujiweka kwenye nafasi ya kushinda kupitia promosheni yao mpya, simu mbili aina ya Sumsang Flip Z zikiwa mezani, tayari kwa kuchukuliwa na mshindi atakayepatikana.

Bila shaka hii inaweza kuwa yako jaribu bahati na huenda ukajiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda, muhimu ni kufuata maelekezo tuu! Promosheni hii inawahusu wateja wapya wanaojisajili kuanzia tarehe 17 Oktoba mpaka 18 Novemba mwaka huu.

Promosheni hii imeambatana na zawadi zingine lukuki. Mshindi atatazamwa kwa hesabu ya tiketi zake za jumla alizocheza kwa kipindi cha promosheni.

 

Promosheni Mpya ya Meridianbet

Washindi wana nafasi ya kupambania ushindi katika makundi mawili, upande wa ubashiri wa kawaida na upande wa kasino ya mtandaoni.

Kwa Upande wa Ubashiri wa michezo washindi watashinda kwa mpangilio wa nafasi zifuatazapo pamoja na nafasi zao, hii inaweza kuwa yako.

Mshindi wa kwanza kwa upande wa ubashiri wa michezo, atashinda Simu aina ya Samsung Z Flip 4, nafasi ya pili atashinda bonasi ya ubashiri ya shilingi 250,000, nafasi ya tatu bonasi ya shilingi 200,000 na nafasi ya nne na ya tano ni bonasi ya 100,000 TSH.

Mshindi wa kwanza kwa upande wa ubashiri wa kasino ya mtandaoni, atashinda Simu aina ya Samsung Z Flip 4, nafasi ya pili atashinda mizunguko 200 ya bure, nafasi ya tatu tashinda mizunguko 150 ya bure na nafasi ya nne na ya tano atashinda mizunguko 200 ya bure.

Tunakukumbusha pia kuwa Meridianbet wanaendesha promosheni ya kushinda Bajaji mpyaa kabisa kwa ubashiri wa bila intaneti wa kupiga *149*10# Chagua merdianbet sasa!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.