Dele Alli amerejea Everton siku ya Jumamosi baada ya kupata jeraha huko Besiktas. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza alihamia klabu hiyo ya Uturuki majira ya kiangazi mwaka jana kwa mkopo akitokea Everton baada ya kushindwa kushindwa kuonesha kiwango kizuri akiwa Uingereza.
Lakini Dele Alli muda wake kwenye Superlig hadi sasa umekuwa msiba akiwa amefunga mara mbili pekee katika mechi 13 za ligi. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Na mambo yamezidi kuwa mabaya baada ya kupewa ruhusa ya kurejea Uingereza kufuatia majeraha aliyoyapata.
Kocha wa Everton Sean Dyche alithibitisha kuwa amerejea lakini akasisitiza kuwa bado yuko kwa mkopo Besiktas. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Alipoulizwa kuhusu hali ilivyo baada ya kufungwa mabao 2-0 na Manchester United, alisema: “Anaendelea kupata matibabu na ameumia. Ana mkataba wa mkopo huko.”
Dele Alli anahitaji matibabu ya kitaalam kutoka kwa mshauri nchini Uingereza wakati uhusiano wake na bosi wa Besiktas Senol Gunes tayari uko katika hali mbaya.
Kiungo huyo hajacheza tangu Februari 26 na amekuwa nje ya uwanja baada ya kushindwa kumshawishi meneja huyo. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

