
Habari za ndani kabisa ni zinaeleza kwamba, Chelsea wako tayari kumtoa beki Kalidou Koulibaly kwenda Inter Milan kama sehemu ya harakati zao za kutaka kumsajili mlinda mlango wa timu hiyo Andre Onana. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Chanzo cha uhakika kinaamini kuwa, mazungumzo kati ya vilabu hivyo viwili yamepangwa kufanyika wiki hii huku mustakabali wa mshambuliaji Romelu Lukaku, ambaye alitumia msimu huu kwa mkopo katika klabu ya Inter, pia ni sehemu ya ajenda.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Chelsea pia wanavutiwa na mshambuliaji wa Inter wa Argentina aliyeshinda Kombe la Dunia Lautaro Martinez. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.