Kylian Mbappe Azungumzia Sakata la Messi Kuondoka PSG

mbappe

Kylian Mbappe ameibuka tena akizungumzia mapungufu ya klabu yake ya PSG, kumruhusu nyota wa dunia Lionel Messi kuondoka katika hali ya kushangaza. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Nyota huyo wa Ufaransa hivi karibuni alitangaza kuwa hatasaini mkataba wa nyongeza katika klabu ya Parc des Princes, lakini akithibitisha uhamisho wa bure mwaka 2024 mkataba wake wa sasa utakapokamilika.

Akizungumza na Gazzetta dello Sport, Mbappe alisema: “Kwa mchezaji kama mimi, lengo ni kushinda kila kitu, na tulijua kuwa PSG kulikuwa na mapungufu ambayo mapema au baadaye tungeishia kuyalipa.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Sikusema nilitaka kuuzwa kwenda Real Madrid au ninataka kuondoka, lakini tu kwamba sitaongeza mkataba wa mwaka wa ziada.

“Pamoja na PSG, hakujawa na mazungumzo yoyote ya kimkataba. Lionel Messi ameondoka? Habari mbaya sasa zinahitaji kubadilishwa.”

Aliongeza: “Yeye ni mmoja wa wachezaji bora katika historia ya mpira wa miguu. Sio habari njema wakati mtu kama Messi anaondoka.

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Sielewi kabisa kwa nini watu wengi walifurahi sana kwamba alikuwa ameenda. Hakupata heshima aliyostahili nchini Ufaransa.”

Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.