Zidane Akataa Kuifundisha PSG

Zidane

Aliyewahi kuwa kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amekataa ofa ya kuifundisha Paris Saint-Germain kwa mara ya pili. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

 

Kwa mujibu wa Le Parisien wanadai kuwa kocha huyo wa zamani wa Real Madrid alifuatwa kuchukua nafasi ya Christophe Galitier aliyetimuliwa hivi karibuni, lakini akasema hapana. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Hili ni tukio la pili katika miaka ya hivi karibuni kuwakataa, ikiwa ni jaribio jingine kushindwa kufanikiwa ilikuwa mwishoni mwa mwaka 2021. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Alipoulizwa kuhusu uvumi huo, Zidane alijibu: “Unanishangaza kwa swali lako. Mimi, kwa sasa, sina mpango wowote.”

PSG badala yake wako kwenye mazungumzo na kocha wa zamani wa Bayern Munich Julian Nagelsmann. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe