Brighton Kuwaalika Leicester

Klabu ya Brighton ambayo inaongozwa na kocha mkuu Graham Potter itakuwa nyumbani hapo kesho kuwaalika Leicester City baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Fulham kwa mabao 2-1.

 

Brighton Kuwaalika Leicester

Brighton katika mechi tano za ligi kuu walizocheza wameshinda wameshinda michezo mitatu, sare moja na wamepoteza mchezo mmoja, wakati kwa upande wa Leicester ni timu ambayo ambayo haijashinda hata mechi moja ikiungana na Everton, pamoja na Wolveshampton hizi timu toka ligi ilipoanza hawajashinda mchezo wowote zaid ya kupoteza na kupata sare.

Brighton imefanya sajili ya wachezaji mbalimbali kama vile Billy Gilmour, Pervis Estupinan, Levi Colwil na wengine wengi ambao wataenda kuimarisha timu hiyo katika msimu huu ambapo wameanza vizuri , Lakini pia wamemuuza mchezaji wao ambaye alikuwa na mchango kwenye timu yao.

Brighton Kuwaalika Leicester

Wanaenda kukutana na Leicester City ambayo msimu huu imeuza wachezaji muhimu kwenye kikosi cha kwanza lakini wakashindwa kutafuta mbadala wa wachezaji hao na hatimaye kuanza vibaya msimu na mpaka sasa ndio wanaoshikilia mkia kwenye msimamo wa Epl.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.