Arsenal wameitumia vyema karata yao ya kwanza kunako msimu mpya wa EPL – 2020/21 kwa kuwalaza Fulham 3-0.
Mchezo ambao Arsenal waliutawala kwa kiasi kikubwa, umewapatia alama 3 muhimu na kuwaeka kileleni mwa Msimamo wa EPL.
Willian na Gabriel ni kati ya wachezaji waliosajiliwa na Mikel Arteta katika dirisha hili la usajili. Wachezaji hawa wameanza vizuri maisha yao chini ya utawala wa Arteta, Willian alitoa pasi 2 za magoli na Gabriel amefunga goli lake la kwanza akiwa na The Gunners.
Almanusura Willian apate goli lake la kwanza lakini shuti lake liliishia kugonga mwamba. Aubameyang, Gabriel na Lacazette walitosha kukamilisha pointi 3 muhimu kwa Arteta wakiwa ugenini.
Mchezo unaofata, Arsenal watawakaribisha West Ham United wakati ambapo Fulham watakuwa uwanjani kucheza na Ipswich kwenye Kombe la EFL.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.



Khadija
Safi sana Arsenal kazeni buti#meridianbettz
Faraja molell
Arsenal saf San jitaidin
aisha
Arsenal hongera sana kwa kuanza msimu vizuri
Amiri Kayera
Wamestahili ushindi
Furahav
Wako vizuri.
Issa
Ni mwanzo mzuri
farida ahmadi
Habari nzuri Sana
Janeflora malisa
Vzr
Nasra
Arsenal wamejipanga.
Aziza mushi
Arsenal wapo vizuri.
Magdalena
Arteta Naona ataki kabisa Masihara wakaze buti watafika
Saupha mohamed
Arsenal wamejipanga
Dorophina
Arsenal wameanza msimu vizuri wakaze buti Mambo yaendelee kuwa mazuri
Mwajumah
Hongeren sana arsenal kwa kuunza msimu vizuri#Meridianbettz
Sauda
Kila la kheri Arsenal
Elika
Safi sana arsenal na hongera sana kwao
Adelta
Hongera Sana kwa arsenal@meridianbettz
Fatina
Arsenal jeshi!
Ernest
Mambo mazuri kwa washika mitutu wa Landon, Mwanzo mzuri kama wataendelea hivi basi tutarajie kuiona Arsenal kwenye Top 4 msimu huu wa 2020/2021
Mwanahamisi
Arsenal moto
Lydia Emmanuel Magoti
Arsenal wapo vizuri msimu huu
Caroline
Hongera Arsenal
felister
msituangushe uko mbelen iti arsenal
Povel
Arsenal walistail kushinda wamechezah na vibonde wale
Theckla
Nyota njema huonekana asb
Tatu
Arsenal naona wanakuja kwa kasi ya 4g
rama
waongeze juhudi tu
Rehema
Wako vizuri
Shafii
Pongezi kwa arsenal.
lombo
vzur
Sabrina
Arsenal wanakuja na moto wao
Neema
Wako vizurii sana arsenal
Latifa juma mohamed
Arsenal, “the gunner one saf San ,nyenzo daraja la tatu hamn kuliacha
Rose kapinga
Mwanzo mzuri msilewe sifa endeleeni kukaza!!
Tahiya
Mwanzo mzur vijana
warda
Nilisha waona Tokea Mchezo wao na Liverpool walikuwa vizuri sana#Meridianbettz
Gabriel
Arsenal jeshiii
Samiah
Jeshi Arsenal
David Pere
Mambo mazuri kwa washika mitutu wa Landon, Mwanzo mzuri kama wataendelea hivi basi tutarajie kuiona Arsenal kwenye Top 4 msimu huu wa 2020/2021