Meneja wa Klabu ya Tottenham, Jose Mourinho amewapiga mkwara wachezaji anaowataka kuwapa dili ndani ya timu hiyo kwa kusema kuwa ikiwa wanahofia kushindana na mshambuliaji wake namba moja Harry Kane na Son Heeung-min hawezi kufanya nao kazi.
Mourinho ambaye huwa haishiwi maneno inaelezwa kuwa klabu yake ipo kwenye hesabu za kupata saini ya mshambuliaji wa Red Bull Salzburg, Patson Daka inaelezwa kuwa amepunguza ile shauku ya kutaka kujiunga na timu hiyo.

Licha ya kwamaba Tottenham inahitaji kufanya usajili bado ipo kwenye mchakato wa kujua ni yupi atakuwa sahihi kutua ndani ya timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England.
Ripoti zinaeleza kuwa Mourinho amesema kwamba akiwa kwenye mpango wa kuwatafuta washambuliaji wapya hana kazi ya kuwashawishi yeye zaidi wao wanapaswa wamshawishi yeye ili awape mkataba na ikiwa mshambuliaji ana hofu ya kujiunga na timu yake kisa anahofia ushindani huyo hawezi kumfaa kabisa.

“Ndio ninahitaji mshambuliaji hilo lipo wazi, ila kama hataki kuja ndani ya kikosi kwa kuwa nina Harry Kane, Son, Lamela, Lucas Moura unadhani nini kitafuata basi nitamwambia kwaheri.
“Hata timu yenyewe inajua kwamba ninahitaji mshambuliaji ila sio katika hali hii,” alisema Mourinho.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Janeflora malisa
🔥🔥
Hopemwaikuka
My fav coach of all time
Aziza mushi
Asanten kwa tarifa. Meridian
Magdalena
Mourinho Naona kaanza mapepo yake
Saupha mohamed
Mourinho anamambo mengi
Dorophina
Mourinho Ni kocha mzuri anajua nini anafanya kwenye kikosi chake
Mwajumah
Mourinho naona anataka kuwanoa vijana ila ni kocha mzuri sana#Meridianbettz
Sauda
Kane level nyingine
Sauda
Kane level nyingine.
Elika
Mourinho yuko vizur sana
Adelta
Yuko sahii na kazi yake@meridianbettz
Fatina mfigi
Mmmh!!
Ernest
Ni jambo zuri kwani litaongeza umakini wa Kane uwanjani
Mwanahamisi
Mourinho ni kocha mzuri
Lydia Emmanuel Magoti
Mourinho yupo sahii kwanacho kiongea
Caroline
Murinho anajipanga
Povel
Yupo sahihi replacement ya kane muhimu Sana the special one
felister
ni jambo zuri
Theckla
Mourinh ni kocha mzuri nafikiri anataka aweke ushindani mzuri kwa Kane ili aweze kujituma sawasawa
Tatu
Mourinho ashaaza kuwatisha watu
rama
sawa kabisa kane apate msaidizi pale
aisha
Kane ni fowadi mzuri sana na mabek inabid wajipang vizur kumkabil awapo kweny boks
Amiri Kayera
Kwer wanaitaj wakupamban nao kuongez kiwango
Rehema
Mmm
Furahav
Noma sanaa.
Shafii
Morinho yuko sahihi anahitaji mshambuliaji ambae atakuja kumpa hamasa Kane ya kujituma kwaiyo kutakua na ushindani wa namba.
lombo
sahh
Issa
Kane fowad anaejua umuhim wa kuscore
Sabrina
Mourinho ana mbwembwe
Nasra
Namkubali sana Mourinho
Neema
Hilo pia ni jambo zurii.
Latifa juma mohamed
Mourinho Ni kocha mzuri anajua nini anafanya kwenye kikosi chake, changamoto nzur sana
Rose kapinga
Mourinho kocha mzuri sana anatumia mbinu nyingi katika kupata kile kilicho bora zaidi!!
Tahiya
Mourinho ameanza mambo zake
warda
Mourinho amesema msimu huu atapambana kweli kweli#Meridianbettz
Gabriel
kocha mzuri
Samiah
Kocha mahiri
David Pere
Mourinho naona anataka kuwanoa vijana ila ni kocha mzuri sana