Arteta Juu ya Mkataba wa Pierre-Emerick Aubameyang.
Bosi wa Arsenal Mikel Arteta anatarajia kuwa kutakuwa na taarifa njema kwa wapenzi wa Arsenal juu ya suala la mkataba wa Pierre-Emerick Aubameyang kwa siku chache tu zijazo.
Mshambuliaji huyu, ambaye ni raia wa Gabon ametoa mchango wake katika ushindi wa bao 3 bila dhidi ya Fulham, kwenye mechi yao ya ufunguzi wa msimu wa 2020/21.
Aubameyang amefunga magoli 55 tangia alipoanza kuichezea Arsenal Februari 4, 2018, akiwa ni mchezaji pekee aliyefikisha idadi hiyo kwa wale wanye mda sawa na yeye kwenye ligi.
Hata hivyo, hatma ya nyota huyu imekuwa na sintofahamu, akitajwa kuwa kwenye uangalizi zaidi kwenye siku za hivi karibuni. Mkataba wake wa sasa unafika tamati nwaka 2021.
Arteta amewataka wapenzi wa Arsenal kuwa na subira kwa kuwa wanaenda kusikia taarifa njema kuhusu hatma ya mkataba wa staa huyu katika siku chache zijazo, huenda ikawa mapema wiki ijayo kwa mujibu wa bosi huyu.
Arteta anatarajia kikosi chake kitaendelea kuwa na moto kilioanza nao, ndicho atakachokuwa akizingatia anapokuwa anakiandaa kikosi chake katika kupambana vyema msimu huu mpya.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Magdalena
Arteta anataka kukijenga vyema kikosi chake
Saupha mohamed
Arteta yupo vizuri
Dorophina
Arteta amefanya vizuri sana aubameyang Ni mchezaji mzuri sana na anajua nini anafanya akiwa uwanjani
Mwajumah
Arteta naona anataka kukijenga vyema kikosi chake kiwe imara mara dufu#Meridianbettz
Sauda
Anataka kuimarisha kikosi
Adelta
Arteta Yuko vizuri kwa kujenga kikosi chake@meridianbettz
Fatina
Nice!!
Ernest
Kwa hali ambayo Arsenal wameonyesha kwenye ufunguzi wa ligi, Aubameyang lazima atamwaga Wino tena ndani ya Arsenal
Povel
Gud news
Caroline
Arteta anasuka kikosi
felister
arteta naona anataka kukiimarisha vizuri kikosi chake
Theckla
Arteta ni mchezaji mwenye kujituma sana
Tatu
Mikal arteta anataka kukiweka kikosi chake vizuri
Mwanahamisi
Nice
aisha
Auba ni fowad alieipa mataji arsenal hivyo kuham hapo ni ngumu
Elika
Arteta anajiamini vilivyo
Amiri Kayera
Naamin Aubameyang ataongez mkatab wa kuendelea Arsenal
Hopemwaikuka
Arteta namuelewa sana
Rehema
Good news 👍
Furahav
Habari nzuri.
Shafii
Gud news.
lombo
habar njema
Issa
Auba ni mchezaji mahir na ameifanyia mazur arsenal
Nasra
Gud news
Sabrina
Nampenda sana Arteta anavyoandaa kikosi chake
Neema
Habari nzuri
Rose kapinga
Arteta mambo yako yamotoo
Tahiya
Arteta mpe mkataba mrefu uyo kijana bado tuna kazi naye hapo
warda
Shida Ni kwamba hao wapenzi wa Arsenal Wanaweza kuwa na subira
Janeflora malisa
Vzr
Gabriel
Arteta Yuko vizuri kwa kujenga kikosi
David Pere
Arteta amefanya vizuri sana aubameyang Ni mchezaji mzuri sana na anajua nini anafanya akiwa uwanjani