Walinzi Bora wa Kulia
Daily News

Ili timu iweze kuwa imara huhitaji wachezaji bora na wenye weledi wa kuzuia timu yao isiweze kufungwa mara kwa mara. Uwepo wa wachezaji wa aina hii ni kiini cha kuwepo …

Soma zaidi
UEFA: Nani Kufungasha Virago?
Champions League

Michuano ya klabu bingwa bado inaendelea kushika kasi na leo lazima wawili watoke ili kuachia nafasi ya wengine kusonga mbele. Hiyo ndiyo radha halisi ya soka pale anapotoka mtu na …

Soma zaidi
Sterling Anapoteza Matumaini na Ubingwa EPL
Football

Staa wa Manchester City, Raheem Sterling anapoteza matumaini kama klabu yake inaweza kuutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza EPL msimu huu. Sterling anafikiri kwa namna mbio za kuwania taji …

Soma zaidi
Tujikumbushe: Simba Yamemkuta!
Champions League

Wahenga husema hakuna marefu yasiyo na ncha, hakika huu msemo una maana kubwa hata kimazingira upande wa soka. Japo wengi wanaposhiriki michuano fulani mikubwa hawatamani kabisa kukutana na ncha hizo …

Soma zaidi
Woods Aweka Historia
Daily News

Kwa miaka mingi Tiger Woods amekuwa akifahamika kama miongoni mwa nyota wa uwezo wa juu kabisa kwenye gofu. Uwezo wake, umakini na uimara wake kwenye kitengo hicho hupewa heshima sana. …

Soma zaidi
Kikosi cha United Kujipindua Barca
Champions League

United wamesafiri kuelekea Catalonia leo ili wawe na angalau siku moja ya maandalizi ya gemu dhidi ya Barcelona ya Ligi ya mabingwa ulaya wakitarajia kujipindua kichapo cha bao 0-1 walichokipata …

Soma zaidi
Salah Ubaoni Tena!
Daily News

Baada ya kukosolewa kwamba kiwango chake kwa sasa kimeshuka, Salah ameudhihirishia ulimwengu kwamba kile wanachofikiri juu yake ni suala la wakati tu na ana uwezo bado wa kufanya makubwa zaidi …

Soma zaidi
“Tulicheza Kama Wageni!” – Mbappe
Daily News

Inawezekana haikuwa siku nzuri upande wa PSG walioambulia kichapo cha kihistoria ndani ya ligi ya Ufaransa kutoka kwa Lille walioonekana kujipanga tangu mwanzoni kabisa mechi ikiwa inaanza. Kitu hicho kwa …

Soma zaidi
Man City Waendeleza Ubabe EPL
Football

Mabingwa wa Uingereza, Man City kama wamemvuruga Crystal Palace akiwa nyumbani kwa kumlaza kwa bao 1-3, ni rasmi sasa wamerejea kileleni wakiwa na pointi moja zaidi ya Liverpool. Raheem Sterling …

Soma zaidi
Christian Ericksen Atalipwa Mara 3 Akiwa United
Football

Klabu ya Manchester United inaripotiwa kuwa wapo tayari kumnasa nyota wa Spurs Christian Ericksen ambaye atakula dili nono ikiwa atamwaga wino klabuni hapo. United wanatajwa kuwa wapo tayari kumlipa staa …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.