Romelu Lukaku Anaweza Kurejea Ligi Kuu ya Uingereza Huku Napoli Ikiweka Bei ya €20M.
Daily News

Romelu Lukaku anaweza kuwa njiani kurejea Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu wa joto, huku Napoli ikiwa tayari kumuuza mshambuliaji huyo wanapobadilisha safu yao ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao. Mbelgiji …

Soma zaidi
Arteta Alenga Ubingwa EPL Kabla ya Mchezo Dhidi ya Fulham
News

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amewataka wachezaji wake kurejea kwenye malengo yao ya ubingwa wa Premier League wanapojiandaa kuikaribisha Fulham siku ya Jumamosi. Hii inakuja siku chache baada ya sare …

Soma zaidi
Carrick Aupa Uzito Mchezo wa Man United dhidi ya Liverpool
News

Kocha wa Manchester United, Michael Carrick amesema kuwa mchezo dhidi ya Liverpool unabaki kuwa wa kipekee licha ya timu hizo kutokuwa kwenye mbio za ubingwa wa Premier League msimu huu. …

Soma zaidi
De Zerbi Apambana Kuhakikisha Spurs Inasalia EPL
News

Kocha wa Spurs Roberto De Zerbi wa amesema anataka kuondoa kabisa mawazo hasi ndani ya kikosi chake wakati timu hiyo ikiendelea kupambana kujinusuru kushuka daraja katika Premier League. Spurs kwa …

Soma zaidi
Griezmann Aitaka Atletico Kuongeza Makali Dhidi ya Arsenal Mchezo wa Marudiano
News

Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann, ameitaka timu yake kubeba kiwango bora walichoonyesha kipindi cha pili kuelekea mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya UEFA Champions League dhidi ya Arsenal. …

Soma zaidi
Inter Milan Bado Wana Matumaini ya Kumpata Nico Paz Licha ya Real Madrid Kumrejesha
Daily News

Kulingana na Corriere dello Sport, Inter Milan bado wana nia ya kumsajili kipaji wa Como Nico Paz, ambaye anatarajiwa kurejea Real Madrid majira ya joto, lakini atabaki Santiago Bernabéu Stadium …

Soma zaidi
Ashley Young Atangaza Kustafu Soka Mwishoni Mwa Msimu Huu
News

Aliyekuwa nahodha wa Manchester United na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya, Ashley Young ametangaza rasmi kuwa atastaafu soka mwishoni mwa msimu huu. Beki huyo wa pembeni mwenye …

Soma zaidi
Liverpool Wanamuwania Beki wa Napoli Anayeheshimika Sana na Arne Slot.
Daily News

Mabingwa watetezi wa EPL Liverpool wanaripotiwa kuvutiwa na beki wa kati wa Napoli Sam Beukema, ambaye anaheshimiwa sana na kocha wa Reds Arne Slot. Liverpool wameweka macho yao kwa beki wa …

Soma zaidi
Man City Wanapima Uwezekano wa Kumsajili Rafael Leao Huku Nathan Ake Akifikiria Kuondoka.
Daily News

Manchester City wanachunguza uwezekano wa kufanya dili la pauni milioni 60 kwa ajili ya Rafael Leao, huku Nathan Ake akifikiria kuondoka kutokana na kukosa dakika za kutosha za kucheza. City pia …

Soma zaidi
Joan Garcia Anakabiliwa na Changamoto Kubwa Katika Harakati za Kutwaa Tuzo ya Binafsi ya La Liga.
News

Kulingana na SPORT, kipa wa FC Barcelona Joan García anatarajiwa kupanda moja kwa moja kileleni mwa msimamo wa tuzo ya Zamora Trophy Jumamosi hii, endapo atacheza dhidi ya CA Osasuna. …

Soma zaidi
1 2 3 4 5 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.