Chelsea Wako Katika Mchakato wa Kutafuta Kocha Mpya na Pesha ya Kuchukua FA Cup.
Chelsea wanaficha baadhi ya taarifa za mchakato wao wa kumtafuta kocha mpya, huku majina ya Andoni Iraola na Marco Silva yakihusishwa, na mazungumzo yakiripotiwa kufunguliwa kwa Iraola, wakati kocha wa …
Sunderland Wanakabiliwa na nia ya Kumsajili Granit Xhaka Pamoja na Mtihani Kutoka kwa Wolves
Sunderland wameweka bei ya uhamisho kwa Granit Xhaka huku kukiwa na “nia kubwa” kutoka Saudi Arabia, wakati mashabiki wakitaka jibu la haraka dhidi ya Wolverhampton Wanderers baada ya kipigo cha …
Maguire Amsifia Carrick Kwa Kuibadilisha Manchester united
Beki wa Manchester United, Harry Maguire, amemsifu kocha Michael Carrick kwa kuibadilisha timu hiyo na kuirejesha kwenye ushindani, kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Brentford F.C. Ushindi huo umeifanya …
Feyenoord Wamlenga Van Bronckhorst Kuwa Mkurugenzi wa Ufundi
Klabu ya Feyenoord Rotterdam inaripotiwa kumuweka kwenye rada yake Giovanni van Bronckhorst katika harakati za kupata mkurugenzi mpya wa ufundi. Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, Feyenoord bado hawajawasiliana rasmi na …
Diego Simeone na Atletico Madrid Wanatafuta Kurejesha Heshima Yao Dhidi ya Arsenal.
Atletico Madrid na kocha wao Diego Simeone mara kwa mara wameonja uchungu wa kushindwa, hata katika kile kinachochukuliwa kuwa enzi ya mafanikio makubwa ya klabu hiyo. Atletico Madrid watakuwa wenyeji …
Khvicha Kvaratskhelia Ataka Kuipeleka PSG Fainali ya Ligi ya Mbingwa
Winga nyota wa Paris Saint-Germain, Khvicha Kvaratskhelia, amesema ana matumaini ya kuitia hamasa timu yake kufika fainali ya UEFA Champions League kwa mara nyingine, kuelekea nusu fainali dhidi ya Bayern …
Manchester United Waisogelea Nafasi ya Ligi ya Mbingwa Baada ya Kuichapa Brentford
Klabu ya Manchester United imekaribia kufuzu kwa UEFA Champions League msimu ujao baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Brentford F.C. katika mchezo wa kusisimua wa Ligi Kuu England …
Kompany Amsifia Kane, Asema “Anazidi Kuwa Bora Kadri Anavyozeeka
Kocha wa Bayern Munich, Vincent Kompany, amemsifu mshambuliaji wake Harry Kane akisema anaendelea kuwa bora kadri anavyozeeka, kuelekea nusu fainali ya UEFA Champions League dhidi ya Paris Saint-Germain. Kane amekuwa …
Fenerbahce Wamtimua Tedesco Baada ya Kichapo Cha Dabi ya Istanbul
Klabu kubwa ya Uturuki Fenerbahçe S.K. imemtimua kocha mkuu Domenico Tedesco kufuatia kipigo kizito cha dabi dhidi ya Galatasaray S.K.. Uamuzi huo umetangazwa Jumatatu, saa 24 baada ya Fenerbahce kupoteza …
Msimu wa Modric Umemalizika Baada ya Kupata Jeraha, Sasa Anatazamiwa Kurejea Kwenye WC 2026.
AC Milan imetoa taarifa ikithibitisha kuwa Luka Modric amefanyiwa upasuaji leo kutokana na kuvunjika kwa mifupa mingi ya uso, huku kukiwa na mbio za muda ili aweze kupona kwa ajili ya …

