Inter Milan Yapoteza Pointi Dhidi ya Torino, Dimarco Aandika Historia Serie A
News

Vinara wa Ligi Kuu Italia, Inter Milan, walishindwa kulinda uongozi wa mabao mawili na kulazimishwa sare ya 2-2 dhidi ya Torino, matokeo yaliyowaweka karibu zaidi na ubingwa wa Serie A …

Soma zaidi
AC Milan na Juventus Wagawana Pointi Baada ya Sare Tasa San Siro
News

AC Milan na Juventus waligawana pointi kufuatia sare ya bila kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu Italia (Serie A) uliopigwa kwenye dimba la San Siro. Hii ilikuwa ni sare ya …

Soma zaidi
John Stones Akaribia Kuondoka Manchester City, Aatajwa Kurejea Everton
News

Beki wa John Stones anakabiliwa na uamuzi mgumu kuhusu mustakabali wake, akitafakari uwezekano wa kurejea katika klabu yake ya zamani Everton au kujiunga na moja ya vilabu vikubwa barani Ulaya …

Soma zaidi
Arsenal Wanatazamia Dili la €60m Kumsajili Karim Adeyemi Anayehusishwa na Man United Pia
Daily News

Arsenal wanatafakari chaguo zao za ushambuliaji kuelekea dirisha la usajili la majira ya joto. Mabingwa hao wa EPL wanaendelea kumfuatilia mshambuliaji wa Borussia Dortmund. Arsenal wanazingatia kufanya jaribio la kumsajili …

Soma zaidi
Xavi Simons Aumia Vibaya, Huenda Kulikosa Kombe la Dunia 2026
News

Kiungo wa Xavi Simons wa klabu ya Tottenham Hotspur amethibitisha kuwa ataukosa msimu uliosalia pamoja na FIFA World Cup 2026 baada ya kupata jeraha kubwa la goti (ACL). Simons alipata …

Soma zaidi
Kariakoo Dabi Yahamishiwa Uwanja wa Mej. Jenerali Isamuhyo
News

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB imetangaza rasmi mabadiliko ya uwanja wa mchezo namba 169 wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026, utakaozikutanisha klabu kongwe za Simba SC na …

Soma zaidi
Manchester City Yaongeza Nguvu Kumsajili Anderson wa Nottingaham Forest
News

Mabingwa wa Ligi Kuu ya England Manchester City wanaripotiwa kuwa mbele katika mbio za kuwania saini ya kiungo wa Nottingham Forest, Elliot Anderson, huku wakizishinda klabu pinzani kama Manchester United …

Soma zaidi
Trafford Akiri Kuwa na Wakati Mgumu Ndani ya Manchester City
News

Kipa wa Manchester City, James Trafford, amesema kurejea kwake klabuni hapo msimu huu kumekuwa na changamoto baada ya kupata muda mchache wa kucheza kutokana na ushindani mkubwa wa nafasi ya …

Soma zaidi
Felipe Luis Ahusishwa na Nafasi ya Ukocha Chelsea Baada ya Kufukuzwa Flamengo
News

Aliyekuwa kocha wa CR Flamengo, Felipe Luis, anaripotiwa kuwa miongoni mwa makocha wanaowania kuchukua nafasi ya ukocha katika Chelsea FC kufuatia kufutwa kazi kwake mapema mwezi Machi. Luis mwenye umri …

Soma zaidi
Stuttgart Watinga Fainali DFB-POKAL kwa Bao la Extra Time
News

Mabingwa watetezi VfB Stuttgart wamefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la DFB-Pokal baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya SC Freiburg kufuatia muda wa nyongeza, katika mchezo wa …

Soma zaidi
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.