Sare ya Kusisimua Bournemouth na Leeds Wagawana Pointi 2-2
Klabu ya Leeds United imefanikiwa kuokoa pointi muhimu baada ya kutoka sare ya 2-2 dhidi ya AFC Bournemouth katika mchezo wa Premier League uliopigwa kwa ushindani mkubwa, ambapo bao la …
Burnley Yathibitisha Kushuka Daraja Baada ya Kufungwa na Manchester City
Klabu ya Burnley imeshuka daraja kutoka Premier League baada ya kupoteza 1-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo uliopigwa nyumbani, matokeo yaliyowathibitishia kushindwa kubaki ligi kuu msimu huu. Goli pekee …
Lamine Yamal Aongoza Barcelona Kupata Ushindi Muhimu Dhidi ya Celta Vigo
Klabu ya FC Barcelona imepiga hatua muhimu kuelekea kutwaa ubingwa wa LaLiga baada ya ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Celta Vigo katika mchezo uliopigwa Camp Nou, ushindi uliowafanya waendelee …
Lazio Watinga Fainali ya Coppa Italia kwa Ushindi wa Penalti Dhidi ya Atalanta
Klabu ya Lazio imefanikiwa kutinga fainali ya Coppa Italia baada ya ushindi wa mikwaju ya penalti dhidi ya Atalanta katika mchezo mkali uliopigwa ugenini. Ushindi huo pia unaweka historia kwa …
Juventus Wametoa Ofa kwa Lewandowski Ambayo ni Ndogo Mara 3 Ukilinganisha na ile ya MLS
Ripoti kutoka Italia zinadai kuwa Juventus wako tayari kumpa Robert Lewandowski zaidi ya euro milioni 6 kwa msimu ili ajiunge na klabu hiyo bure mwishoni mwa mkataba wake na FC …
Juventus Wanamfikiria Kumsajili Aliyekuwa Kipa wa Manchester United David de Gea
Ripoti za Jumatano zinadai kuwa dili la kumsajili Alisson Becker wa Liverpool linaonekana kuwa gumu zaidi kwa Juventus, hivyo “Bianconeri” wanaweza kuelekeza macho yao kwa kipa wa Fiorentina na wa …
Leicester City Yashuka Daraja Kutoka Championship hadi League One
Leicester City imethibitishwa kushuka daraja hadi League One kwa mara ya pili mfululizo, hali inayokuja takribani muongo mmoja tangu walipotwaa ubingwa wa EPL. Matokeo hayo yanaashiria anguko kubwa kwa klabu …
Simba Watua Zanzibar Tayari kwa Muungano Cup
Kikosi cha Simba SC kimewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Muungano Cup yaliyoanza rasmi Aprili 21, 2026, huku timu hiyo ikiwa na malengo makubwa ya kufanya vizuri …
Brighton & Hove Albion Wameitandika Chelsea kwa Kishindo na Kuongeza Nafasi Zao za UEFA
Brighton & Hove Albion wameonesha ubabe mkubwa baada ya kuichapa Chelsea mabao 3-0 katika uwanja wa Amex, katika mchezo uliowapa nguvu mpya ya kuwania nafasi za michuano ya Ulaya. Mabao …
Man City Wanawania Kushika Nafasi ya Kwanza Dhidi ya Burnley Leo
Pep Guardiola ametetea sherehe za ushindi wa Manchester City dhidi ya Arsenal, akieleza kuwa mchezo huo ulikuwa kama “fainali” kwa timu yake, huku akiwahimiza wachezaji kufurahia ushindi huo pamoja na …

