Newcastle Wanapanga Mazungumzo na Howe huku Wakiangalia Uwezekano wa Kumuuza Gordon.
Daily News

Newcastle United watafanya mazungumzo ya mwisho wa msimu huku Eddie Howe akikutana na Yasir Al-Rumayyan pamoja na viongozi wa Public Investment Fund kujadili matokeo ya timu na mipango ya maendeleo, …

Soma zaidi
Mbeya City Yamtangaza Salum Mayanga Baada ya Kutimuliwa Mecky Maxime
News

Kufuatia uamuzi wa klabu ya Mbeya City kumfuta kazi kocha Mecky Maxime pamoja na benchi lake la ufundi, uongozi wa timu hiyo umetangaza rasmi kumteua Salum Mayanga kuwa kocha mkuu …

Soma zaidi
Vijana wa Real Madrid Juvenil A WaPongezwa Baada ya Ubingwa wa UEFA Youth League
News

Kabla ya mchezo wa LaLiga kati ya Real Madrid na Deportivo Alavés, kikosi cha vijana cha Juvenil A cha Real Madrid kiliingia uwanjani katika hafla maalum ya kupongezwa baada ya …

Soma zaidi
Chelsea Yaanza Mchakato wa Kutafuta Mbadala wa Liam Rosenior Stamford Bridge
News

Klabu ya Chelsea FC inaripotiwa kuanza mchakato wa kutafuta warithi wa kocha Liam Rosenior, kufuatia mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho katika Ligi Kuu ya England, Premier League. Hatua hiyo inakuja …

Soma zaidi
Mbappe na Vinicius Wafunga Mabao, Real Madrid Ikipata Ushindi Dhidi ya Alaves
News

Real Madrid wameongeza presha kwa vinara wa LaLiga, LaLiga, baada ya kupata ushindi mwembamba wa 2-1 dhidi ya Deportivo Alavés katika dimba la Santiago Bernabéu. Ushindi huo umeifanya Madrid kupunguza …

Soma zaidi
Ziyech Arejea Wydad Casablanca Baada ya Majeruhi, Kupigania Nafasi Morocco.
News

Kiungo nyota wa Wydad Casablanca, Hakim Ziyech, amerejea kikosini baada ya kuwa nje kwa kipindi cha majuma kadhaa akiuguza jeraha alilolipata wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika  dhidi …

Soma zaidi
Arsène Wenger Aamini Arsenal FC Bado Wana Nafasi Kubwa ya Ubingwa EPL
News

Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsène Wenger, ameibuka na kauli yenye uzito mkubwa kuhusu mbio za ubingwa wa EPL msimu wa 2025/26, akisisitiza kuwa Arsenal bado wana nafasi kubwa ya …

Soma zaidi
Liverpool Wanamfikiria Kumsajili, Randal Kolo Muani ili Achukua Nafasi ya Hugo Ekitike Aliyeumia.
Daily News

Liverpool wamemtambua mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Randal Kolo Muani, kama chaguo bora la kuchukua nafasi ya Hugo Ekitike aliyejeruhiwa, kwa mujibu wa jarida la Italia Tuttosport. Ekitike anatarajiwa kukosa mechi …

Soma zaidi
Chelsea Wamefungua Uwezekano wa Kumuza Alejandro Garnacho Chini ya Mwaka 1 Tangu Kumsajili.
Daily News

Chelsea wanataka kumuuza Alejandro Garnacho chini ya mwaka mmoja tangu walipomsajili kutoka Manchester United, kwa mujibu wa talkSPORT. Maisha ya Garnacho ndani ya Manchester United yaliharibika baada ya kauli zake …

Soma zaidi
Tottenham Wanasalia Kwenye Eneo la Kushuka Daraja Huku De Zerbi Akikiipa Changamoto Kikosi Chake.
Daily News

Roberto De Zerbi amesema hofu inaathiri Tottenham Hotspur baada ya kichapo cha 1-0 dhidi ya Sunderland kilichowaacha katika nafasi ya 18, huku Cristian Romero akipata jeraha linaloshukiwa kuwa la goti. …

Soma zaidi
1 2 3 8 9 10 11 12 13 14 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.