Makala nyingine
Makala mpya
Dabi Ya kariakoo Yawaka; Simba, Yanga Kuvaana Tena Jumapili
Kuelekea dabi ya Kariakoo itakayopigwa Jumapili saa 12:00 jioni kwenye dimba la Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam, makocha wa Simba SC na Yanga SC wameweka wazi mikakati na …
Napoli Waanza Mazungumzo Kumsajili Jadon Sancho Bure
Klabu ya Napoli imeanza harakati za mapema kumsaka winga wa Manchester United, Jadon Sancho, kwa kufanya mawasiliano ya awali na wakala wake. Hatua hiyo inaashiria dhamira ya Napoli kutaka kuimarisha …
Luciano Spalletti Ametawazwa Kocha Bora wa Mwezi wa Aprili 2026.
Luciano Spalletti ametawazwa Kocha Bora wa Mwezi wa Serie A kwa Aprili baada ya kuendeleza rekodi ya kutofungwa katika wiki kadhaa zilizopita, na mkufunzi huyo wa Juventus sasa amesawazisha rekodi …
Curtis Jones Yuko Tayari Kujiunga na Inter Milan Baada ya Liverpool Kuzuia Uhamisho Wake wa Januari.
Baada ya tayari kujaribu kumsajili Curtis Jones mwezi Januari, sasa inaripotiwa nchini Italia kuwa Inter Milan itajaribu tena kumsajili kiungo huyo wa Liverpool, ambaye bado anaonyesha nia ya kuondoka. Inter …
JKT Waongeza Viti 2000 Uwanja wa Meja Gen. Isamuhyo Kuelekea Kariakoo Derby
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linaendelea na maboresho ya Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ikiwa ni maandalizi ya derby kubwa ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC inayotarajiwa …
Malen na Roma Wanaripotiwa Kuwa na Hamu ya Kufanya Uhamisho Wake Kutoka Aston Villa Kuwa wa Kudumu.
Ripoti kutoka Uholanzi zinathibitisha kuwa Donyell Malen ana hamu kubwa ya uhamisho wake kwenda AS Roma, huku klabu hiyo ikitarajiwa kutumia kipengele chake cha kununua cha €25m kutoka Aston Villa. …
Uhamisho wa Mason Greenwood Kwenda Juventus Umeanza Kuibuka Tena
Mshambuliaji mwenye utata wa Olympique de Marseille Mason Greenwood ameanza tena kuhusishwa na uhamisho wa kwenda Juventus, huku nyota wa sasa wa Bianconeri Francisco Conceicao akivutia nia kutoka klabu za …
Lamela Astaafu Soka Baada ya K ufanyiwa Upasuaji wa Nyonga
Nyota wa zamani wa Tottenham Hotspur, Erik Lamela, amezungumzia hali yake baada ya kufanyiwa upasuaji wa nyonga kufuatia kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 33. Lamela alilazimika kutundika daruga …
Giovanni Di Lorenzo Amerudi Kuichezea Napoli Baada ya Miezi 3 Tangu Alipoumia Goti.
Napoli wamewasili Como kwa ajili ya mechi ya Serie A ya kesho, na kulikuwa na mshangao baada ya nahodha Giovanni Di Lorenzo kurejea kwenye kikosi. Hali kubwa ya majeruhi iliyolikumba …
Mourinho Akanusha Tetesi za Kujiunga na Real Madrid
Kocha wa Benfica, Jose Mourinho amesema hakuna mawasiliano yoyote kati yake na Real Madrid licha ya tetesi zinazoendelea kumhusisha na kurejea katika klabu hiyo ya Hispania msimu ujao. Mourinho, ambaye …


